

Kikosi cha Awali cha Junior Starlets Chini ya Miaka 17 Kimetangazwa na Kocha Mkuu Mildred Cheche.Kocha Mkuu Mildred Cheche ametangaza kikosi cha awali cha timu ya Junior Starlets chini ya miaka 17. Kikosi hiki kinajumuisha wachezaji kadhaa waliocheza Kombe la Dunia mwaka jana katika Jamhuri ya Dominika, kama vile kiungo Halima Imbachi na kipa Velma Auma.

Picha ya faili Kocha mkuu wa Junior Starlets Mildred cheche.
Walinda lango kunao Velma Auma Abwire(Starlets),Scovia Awuor (Kobala Secondary),Mitchelle Achieng (Madira Girls),Ann Wavinya Abednego (Ibubi Girls),Vallary Achieng (Nyakach Girls),Malia Rose Nyabera Otondi (Pelham Memorial โ New York, USA)
Mabeki kunao Lorine Illavonga (Starlets),Jenevieve Mithel (Nyakach Girls),Patience Asiko (Butere Girls),Sharline Munasia (Madira Girls),Kelsey Aoko (Mwitoti Secondary),Steller Kasichana (Kombani Secondary),Naomi Kwamboka (Saye School)- Grace Mumo (Madira Girls),Rose Nangila Wanyonyi (Wiyeta Girls),Dorcas Glender (Butere Girls),Julliet Akinyi (Nyakach Girls),Berine Ikanya (Butere Girls),Fancy Cheptoo (Trinity Mission),Rehema Omulubi (Trinity Mission) na Jecinta Ndunge (Mbihi Girls High School)
Viungo kunao Halima Imbachi (Butere Girls),Lindy Weey Atieno,Brenda Awuor (Madira Girls),Brigit Maria (Wiyeta Girls),Merceline Adhiambo (Madira Girls),Monica Nelima (Saye School),Pamela Adhiambo (Kombani Secondary),Serah Wanjiru (Menengai High School),Gaudancia Maloba (Lwak Girls),Fleviah Khatenje (St. Joseph Girls)- Tabitha Wambui (Kahawa Primary),Mwanakombo Nlela Bakari (Mwaroni JSS Ukunda),Linah Martha (Arch Bishop Njenga) na Princencia Atieno (Saye School)

Washambuliaji kunao Sarah Awino (Mwitoti Secondary),Brenda Achieng (Ugunja Township), Mitchelle Waithera (Talanta),Ruth Nanjala (St. Joseph Girls),Anifa Bakari (Mwira Secondary),Linet Auma (Wiyeta Girls),Khadija Furaha Ali (Kobala School),Beffine Shaley (Kobala School),Joan Ogola (Mwira Primary),Judith Nandwa,Quinter Adhiambo Mwendi (Saye School)Jane Kweyu,Joy Angela Valencia,Faith Boke,Joan Agola,Ruth Akinyi
Junior Starlets wanakabiliwa na changamoto kubwa dhidi ya timu ya Uganda, ambayo iliwashinda Namibia katika raundi iliyopita kwa jumla ya mabao 18-0.Hata hivyo, Starlets watajivunia uzoefu wao wa kushiriki mashindano ya mwaka jana, ambapo walikuwa timu ya kwanza ya taifa kuwakilisha Kenya katika Kombe la Dunia.Mechi zitachezwa kwa miguu miwili, na mechi ya kwanza imepangwa kufanyika kati ya Machi 7 na 9, 2025, huku mechi ya marudiano ikipangwa kati ya Machi 14 na 16, 2025.
I am really impressed along with your writing talents and also
with the structure to your weblog. Is this a
paid subject matter or did you modify it your self? Either way stay up the excellent high quality writing, it’s rare to peer a nice blog like this one
nowadays..
Here is my web site :: xleet.to login
https://storage.googleapis.com/digi9sa/research/digi9sa-(426).html
For her, that included a couture Karen Sabag ball gown match
for a princess.