Wakulima wa kahawa walianza siku kwa sherehe za kupendeza baada ya kupokea wageni na vitu vipya.
Wakulima Katika Kaunti ya Embu walipokea mafunzo juu ya udhibiti wa wadudu walio na ushambulizi na kuongeza uzalishaji wao wa kahawa .
Mradi huo ulikuwa sehemu ya shirika la kimataifa la Korea ambalo litatoa huduma hizo kwa kaunti zingine humu nchini Kenya. Kutumia kahawa kama kigezo muhimu katika sekta hiyo kuvutia fursa zaidi ya soko
Na Kelvin Kimtai