Baada ya kichapo cha mabao matatu na Galatasary, Manchester United wanajiandaa Kwa mechi dhidi ya Brentford siku hivi leo.Tetesi zasema kuwa Jason Sancho atakua kwenye mechi hio Kwan ameonekana kwenye mazoezi siku ya Leo.Sancho amekuwa na matatizo yanayomkumba kati yake na kocha Erik Ten Hag.
Chelsea nao wanajiandaa dhidi ya Burnely .Baada ya kupata alama Tatu kutoka Kwa Fulham, Chelsea wana Imani kuwa watashinda mechi syao hvi leo.
Akihutubia vyombo vya habari,meneja wa Chelsea,Mauricio Pochettino,anasema kuwa wana Imani ya kupata alama Tatu. Mchezaji Reece James pia alionekana kwenye mazoezi hayo.James amekua anauguza jeraha tangu msimu kuanza.
Mechi za EPL hapo kesho ni kama zifuatazo .Ligi kuu ya Uingereza ikiendelea kesho tarehe Saba.
Jumapili kutachezwa mechi kali kati ya Asenali yake Arteta na Manchester City yake Guardiola.Liverpool nao watakua wageni wa Brighton.Nikiripotia dira ya Tandao,jina langu ni Michael Simiyu.