Baada ya kuifingia Ukraine kwenye mechi za kimataifa,Mudryk aliendeleza kampeni yake ya ufungaji dhidi ya Asenali.Cole Palmer alifunga penalti.Chelsea wapo katika nafasi ya kumi na alama kumi na mbili.
Asenali nao wakirudi Kwa kishindo baada ya mapumziko na kupata mabao mawili.Rice na Trossard ndio wafungaji.Wapo katika nafasi ya pili na alama 21.
Manchester United walipata ushindi wa mabao mawili dhidi ya Sheffield United.Diogo Dalot na Scott Mctominay ndio wafungaji.
Manchester city walipata ushindi wa mabao mawili dhidi ya Brighton.
Newcastle wakashinda mabao manne.
Westham wakapoteza dhidi ya Aston villa.Luton Town na Forest wakatoka sare.
Manchester United na Asenali wanajiandaa Kwa mchuano wa ligi ya mabingwa.
na Michael Simiyu