Mary Wanyonyi alikula kiapo cha kazi mbele ya Jaji Mkuu Martha Kome katika mahakama ya upeo, Wanyonyi, kama mwenye kiti katika tume ya ugavi wa rasilimali. Bi huyo ameapa kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu na uaminifu.
Mary Wanyonyi ambaye ni make wake Wafula chebukati amedokeza kuwa atatumikia umma kulingana na mwongozo uliopo katika time hiyo. Mary Aidha aliwataka wahisani wote kushirikiana Ili kuwezesaha ugavi wa fedha katika kaunti zote.
Aidha Jajji Mkuu Martha Koome amemtaka wanyonyi kutekeleza majukumu hayo kwa mujibu wa sheria na kwa kuzingatia maadili na uwajibikaji kwa umma.
Jukumu la tume hiyo kuhakikisha ugavi wa mapato ya nchi kwa serikali za kaunti.