Huku mechi za Euro 2024 zikifika kikomo Leo,timu kama Wales na Georgia zikijitahidi kufuzu kwa awamu itakayofuata Wales walipata ushindi wa mabao mawili dhidi ya Croatia.
Georgia walipata alama 3 dhidi ya Cyprus.
Norway walipoteza dhidi ya Uhispania
Uswizi nao walitoka Sare ya mabao matatu
Czech Republic walipata ushindi wa bao moja.
Mechi za siku ya mwisho ni kama zifuatazo;
Ubelgiji watawaalika Sweden.
Bosnia wakiwa wenyeji wa Portugal.
Ugiriki nao watawaalika Netherlands.
Mwishowe Azerbaijan watawaalika Austria.
Mechi ya kirafiki kati ya Harambee stars na Russia inaendelea usiku wa leo.Hapo awali, Rais wa FKF,Nick Mwendwa alitangaza ujumbe huu.
Hongera Kenya wanapocheza mechi hio.
Na Michael Simiyu.