Manchester United walipata ushindi wa bao moja dhidi ya Copenhagen hapo jana.Aliyekua nahodha wa timu hio msimu uliopita, Harry Maguire aliwaweka kileleni.Andre Onana pia alionyesha matokeo bora kwa kuokoa penalti.
Sevilla nao walipata kichapo cha mabao mawili dhidi ya Asenali yake Mikel Arteta.Gabriel Martinelli na Gabriel Jesus ndio wafungaji.Ivan Rakitic aliwapa Sevilla bao la kufuta chozi.
Matokeo ya ligi ya mabingwa ni kama vile:
Galatasary vs B.Munich 1-3
Union Berlin vs Napoli 0-1
Inter Milan Vs RB. Salzburg 2-1
Lens Vs PSV 1-1
Braga Vs Real Madrid 1-2
Benfica Vs Real. Sociedad 0-1
Mechi za usiku wa leo ni kama :
Young Boys Vs Man. City
PSG Vs AC. Milan
Newcastle Vs B.Dortmund
Celtic Vs Atletico Madrid
Antwerp Vs Porto
Feyenood Vs Lazio
Ligi ya mabingwa itarejea tarehe Saba mwezi ujao.
Na Michael Simiyu