Manchester City wameongeza umaarufu wao Kwa kushinda mabao matatu dhidi ya Young Boys.
Halaand alifunga mabao mawili huku Akanji akifunga bao la Kwanza.Ushindi umewaweka kwenye nafasi Bora Kwa mchuano ujao.
Matokeo mengine ya ligi ya mabingwa ni kama vile:
Newcastle Vs Dortmund 0-1
Celtic Vs Atletico Madrid 2-2
Antwerp Vs Porto 1-4
Feyenood Vs Lazio 3-1
Jurgen Klopp ameiongoza timu yake Liverpool kwenye mazoezi dhidi ya Toulouse siku ya leo..Amemzungumzia mchezaji Gakpo ambaye amerejea kwenye mazoezi.Klopp ana imani kuwa Toulouse watawapa alama 3.
Mechi nyingine za Ligi ya Europa leo ni kama zifuatazo:
Merseille Vs Athens
Olympiacos Vs West Ham
Brighton Vs Ajax
Union SG Vs LASK
Na Michael Simiyu